Karibuni kwenye darasa👇🏽*DALILI HIZI KAMA UNAUVIMBE KWENYE* *KIZAZI*
1. Maumivu
âž–Maumivu makali kabla au baada ya hedhi
âž–Maumivu makali wakati wa tendo la ndoa
âž–Maumivu ya tumbo, mgongo na maeneo ya mifupa ya kiuno (pelvis)
âž–Maumivu unapotaka kwenda kujisaidia/kwenda haja
âž–Maumivu ya miguu
2. Hedhi
âž–Kutokwa na damu nyingi wakati wa hedhi, damu hiyo inaweza kuwa au kutokuwa na mabonge
âž–Kuwa na hedhi ya muda mrefu isivyo kawaida
Kupata hedhi kabla ya muda wa kawaida
3. Uke

4. Matatizo ya Kibofu na Utumbo
âž–Kutokwa na damu maeneo ya Kibofu au Utumbo
Kubadilika kwa hali ya utumbo i.e Kuwa na haja kubwa ngumu (constipation) na Kuharisha
âž–Kukojoa mara nyingi isivyo kawaida
5. Kuvimba kwa tumbo wakati wa hedhi, kwaweza kuwa na maumivu au bila maumivu
6. Kuishiwa nguvu au uchovu wakati wa hedhi
Niambie kama una hizo dalili mpaka sasa
Kama una hizo dalili hakikisha unafanya ultrasound ili kujihakikishia kwanza lakini kama umewahi kupima na ukakutwa na vimbe hizo basi usikate tamaa utapona tu kwa *TIBALISHE* bila kufanyiwa upasuaji wasiliana nasi🙏🏿