Habari
Nimatumaini tangu kuwa hamujambo
Kwasasa matumizi ya mtandao imeongezeka na Mambo mengi kwasasa yanafanyika mtandaoni
Watu wengi kwasasa hufanya kazi zao mtandaoni na wengine hutafuta kazi mtandaoni na wengine ni wafanya biashala
Kwasasa Kila kitu kinapatikana mtandaoni na kwasababu hiyo Sasa matumizi ya mtandao yameongezeka Sana,
Na wapo wengine wanao to umia mitandao kutafuta fulaha au kujiriwaza kwa vitu mbalimbali ikiwemo kutazama video kuwasiliana na malafiki na kadharika
Hivyo Basi wengine wamekuwa wakipata changamoto pale wanapoitaji kuingia mtandaon na bando linakata au kutokuwa nalo kabisa,
Kwasasa zipo njia nyingi Sana Sana zutakazopunguza tatizo la kukata kwa bando na kukufanya ushindwe kuingia mtandaoni wakati wewe bado inahitaji kufanya shuguri hizo,
Njia nyingi Sana zimekuwa zikitumika kwa watu wengi na moja ya njia hiyo ni hii ambayo Leo nataka tujifunze hapa na siku nyingine tutajifunza njia ya pili kikubwa nakusihi uwe unatembelea blog hii Kila wakati,
Twende kwenye lengo
Leo tutajifunza njia ya kawaida Sana na lahisi ambayo wengi hawaijui na inatoa mb za bike papo hapo .
Kwakuanza utatakiwa kuwa na haya yafuatayo
1. Uwe na laini ya halotel
2. Uwe na simu janja
Na uwe na mb kidogo utakazozitumia
Baada ya kuwa na hayo Sasa tutapataje mb za bike,
Kwanza kabisa inatupasa kupakua app itakayokufanya upate MB za bike ipakue hapa. http://q.gs/22433975/halopesa
Baadaya ya kuwa tayari umeipakua tazama video hapa ili ujue kuitumia