Habari
Jifunze na uchukue hatua juu ya habari ya kujiingizia kipato mtandaoni
Jee unajua kuwa shuguri zako za kilasiku mtandaoni zitakuingizia kipato
>Basi Kama ulikuwa hukui ngija tupeane mwangaza
Sasa tengeneza pesa mtandaoni kupitia shuguri zako za kilasiku katika mitandaoni ya kijami
Ziko njia njingi zakukufanya ujiingizie kipato katikamitandao ya kijami
Kama unamiliki magulupu ya wasapu mengi na yenyewadau hai basi wewe utafanikiwa kwa halaka sana
Kwakuanaza kabisa utajiunga katika mtandao huu kupitia matangazo unayoyaona pia nitakupa link ukibonyeza tangazo hilii
>Itafunguka nenda sehemu ya kujisajiri
Utatakiwa uwe na imeli utaaweke imeli jina unalotaka kutumia utaweka neno sili na utabonyeza tengeneza akaunti.
Baada ya kuwa akaunti yako imekamilika uzuri wa hawa jamaa hawana mchakato mlefu wakati wakujisajiri
Haa
Baada ya hapo Sasa utatafuta kitu ambacho unaitaji malafaki zako nao wakione
Mfano zimetoka ajila Sasa unataka uwashituwe wana chakufanya kop linki ya Hilo tangazo njoo katika mtandao huu uifupiehe link utapata linki yako fupi Sasa wewe badala ya kuwatumia wana linki ile ya mala ya Kwanza utawatumia hi link fupi uliyopata
Baada ya hapo angaria hii video ili ujue namna ya kutengeneza link fupi itakayokupa pesa
Namna utakavyopata pesa kupitia huu mtandao kila ile link yako fupi inavyobonyezwa na watu ndivyo mapato yako yanavyoongezeka
Mtandao huu huenda ukawa namba moja kuwa mtandao unaolipa kiwango kikubwa cha pesa yaani watu 1000 = utalipwa $70 ukizipigia mahesabu kwa fedha za kitanzania nipesa ndefu.
Wanamasharit yao pia unapaswa kuyazingatia ili akaunti yako iwe salama hauluhusiwi kubonyeza link zako mwenyewe nimakosa makubwa utafungiwa akaunti yako