Habari ndugu msomaji
Leo nataka ujifunze namna ya kutengeneza link fup ikiwa na ujumbe wako au manenounayotaka yaonekani
Bilakupoteza wakato bonyeza hili tangazo hapa chini ujisajiri
Baada ya kufunguka jaza taarifa zako hapo kama inavyotakiwa
Hakikisha umeanfika maneno kama hayo kwekibokis hapo chini baada ya kuwa tayari umejaza na kututuma utatumiwa ujumbe kwenye imel yako
Nao utaonekana kama hiyo hapo juu kwenyepicha
Fungus link ya hapo juu na utakamirisha akaunti yako baada ya kukamilika sasa tuanze kaziyetu ukumbuke pia hii tovuti kadiri utakavyokuwa unaitumia wakati was kufupisha link na kusambaza kwa malifikizako utakuwa unapata pesa
Na hii ni somo lingine linalokuja
TUENDELEE
Baada ya kuingia kwenye akaunti yako sehemu ya kufupisha link kwachini ya pale pakuweka link ili uifupishe utazifanyia marekebisho sehemu hizi mbiri kama zinavyoonekana kwenyepicha hakikisha sehemu zote unaweka manenyo hayo unayotaka yatokee ukishamaliza bonyeza sehemu ya kufupisha link
Tazama hizinpicha picha ya kwanza inaonyesha sehemu ya kukipi link yako uliyotengeneza
Na picha ya piri inakuonyesha link yenyewe inavyokuwa kwakutaka uhakika ili ujiridhishe kuwa linki yako inafanya kazi vyema ijaeibu hii link niliyotengezeza uone
http://j.gs/22433975/jierimishe
Na hapo utaona itakavyokupereke kwenye tovuti hudika nadhani utakuwa umejionea
Ndugu nadhani kufikia hapo utakuwa umeerewa simo letu vya kutosha kama hujaerewa pitia mama kwa mama ujionee mwenyew na ukiwa na swali uliza
Pia maoni yako ni mhimu sana
Endelea kutembele hapa mala kwa mala ili upate masomo zaidi yanayokuja
Siku. Njema
No comments:
Post a Comment