ikifunguka nenda sehemu ya kujisajiri , utaandika namba yako ya simu utabonyeza send , baada ya hapo utapokea sms ikiwa na kod , hizo Kodi utaiweka sehemu ya Kodi kwenye kibokisi cha piei utadhibitisha baada ya hapo utabonyeze kibokisi cha kukubali vigezo na mashaliti kitapiga tiki halafu utabonyeza kitufe cha kujisajiri,
Ukishakibonyeza utapokea sms ikiwa na namba ya akaunti yako pamoja na password yako, utaingia kwenye akaunti yako kwakutumia hizo taarifa,
Baada ya kuingia kwenye akaunti yako halili akaunti yako kwa kujaza taarifa zako kwenye akaunti yako, baada ya kuwa tayari umejaza , weka pesa isiyopungua $1 , ndipo utapata pesa ya ukalibisho, bonus ya ukalibisho inategemeana na pesa uliyoweka ukiweka pesa kidogo utapata kidogo ukiweka kubwa utapata kubwa mfano ukiweka 10000 akaunti yako itaongezwa utakuwa na 20000 ,
Angalizo ili upate ofa hakikisha umejaza taarifa zako zote link,
Leo tutaangalia kwaufupi kampuni kubwa ambayo sasa imeanza kupatikana Tanzania
Linebet
Hi ni kampuni kama yarivyo makampuni mengine
Linebet nikampuni inaoendesha michezo ya kubashiri au kubahatisha mtandaoni
Na limekuwa chaguo bola kwawatanzania waliowengi
Kabula sijafika mbali nikuelekeze namna ya kujisajiri
Ili kujisajiri Bonyeza hapa baada ya kuwa imefunguka utaenda sehemu ya kujisajiri sehemu ya prom cod jaza 556A
Malizia usajiri kwakubonyeza kitufe cha kujisajiri na utapewa akaunti namba yani ID yako pamoja na password utavisevu upendavyo wewe
Baada ya hapo utaingia kwenyeakaunti yako
Baada ya kuingia kwenye akaunti yako utaihalili kwakujaza taalifa zako zote mhimu kulingana na maelekezo utakayokuta baada yakuwa tayari utaweka pesa na utaanza kazi ya kutafuta odds za uhakika ili utengeneze pesa
Masoko
Kwaupande wamasoko inamasoko ya kutosha na yenye kusisimua ndomaana kutokana na huduma zake nzuli imejizolea umaalufu mkubwa hapa Tanzania,
Kama ulikuwa unatafuta kampuni bola utakayotumia katika kazi ya betting Basi tumia linebet
Promo code 556A
Kwanini utumie prom cod 556A wakati wa kujisajiri
Ukitumia prom cod 556A wakati wa kujisajiri itakufanya uoate ofa pindi uwekapo pesa mala ya Kwanza,
Utapewa pia oha unapoweka pesa siku ya ijumaa,
Pia utapewa zawadi siku yako ya kuzaliwa yaani siku uliyofungulia akaunti
Na pia unaludishiwa kiasi cha pesa pale utakapopata los nyingi na kadhalika
Kwamaana hiyo sasa ni mhimu kujisajiri na prom cod 556A
Ndugu yapo mengi ya kusema juu ya huduma ipatikanayo linebet kwaleo tuuishie hapo
Baada ya kuwa umepata maelekezo kwa ufupi sasa Jisajiri hapa
Leo nimeona niereze kidogo yale ninayoona yanatufanya tupate halasa kuliko faida katika kubeti
Nikweli betting ni kazi Kama kazi zingine , na kunafaida kubwa inayopatikana kwawalio makingi
Hivi kalibuni mchezo huu umepata umaalufu na wafuwasi wengi sana
Na miongoni mwa wateja wengi wapo katika kundi la vijana ,
Chakushangaza hasala imekuwa kubwa kuliko faida inayopatikana katika kazi hii,
JE KWANINI TUNAPATA HASARA
kunamambo kadhaa ambayo kwaupande wangu nimeona yanaleta hasala au yamekuwa kati ya Yale yanayotufanya mikeka yetu kuchanika kila mala,
1. TAMAA
kwanini nasema tamaa, katika kubeti kunavitu viwili wakati Kabula mtu hajauidhinisha anapaswa kuangali
Pesa uliyoweka na pesa unayoshinda.
Hapo ndipo tunapoangukia unakuta mtu anaweka 500 na wazolake anataka apate 300000 sasa atajikuta analazimika kuweka timu nyingi katika mkeka wake ili odds ziwe nyingi ,wakati huo huo amesahau kuwa ukiweka timu kuanzia 6_ uwezekano wa wewe kushinda 30% ,kulos kutachukua nafasi 70% , hivyo kwakuwa na tamaa ya pesa nyingi tunapoteza kiasi kikubwa cha pesa,
CHANZO CHA TAMAA,
hivyo nimeona kuwa nikueleze tuu kuwa tamaa kwa walio wengi hutokana na mataji mdogo hivyo basi kuepukana nia hili janga hakikisha Kabula hujabeti andaa mtaji wako mzuri na hakikisha mkeka wako hauzidi timu 4 odds kuanzia 2-5 hapo utatusua mala kwa mala na utapata faida mfano umweka laki ,ods 5= laki 5,
Ikiwa kila siku utafanikiwa kufanya hivyo utapata faida nzuri, na Kama huna mtaji na unataka kukuza mtaji wako fanya hivyo hivyo weka 5000 yako pata 15000 kesho Tena fanya hivyo utajikuta kiwango kinapanda,
Jambo lingine linalotufelisha
2, MAPENZI NA TIMU,
hili pia nitatizo kubwa Sana linalotufelisha shida Sana
Mapendi ya timu fulani yanaondoka na pesa za watu nyingi,
Kabula hujabeti jua kuwa kunamatokeo matatu 1,x,2
Sasa wewe badala ya kufanya uchambuzi wa kina unaipa timu yako tuuu matokeo yake inapigwa, hivyo basi kwenye kubeti ushabiki weka pembeni,
3, ODDS
hili nalo limekuwa tatizo kwa walio wengi , tunapishana na pesa kila wakati kwasababu ya odds,
Wakamalia wengi wanajua kuwa timu yenye odds ndogo ndiyo inayoshinda kumbe sivyo ,kwasababu hiyo kampuni zinazoendesha mchezo huo zimeshajua kuwa watu hufata odds
Sasa wanacheza na akili zetu kuwa timu wanayoiona ni dhaifu au nafasi ya kushinda ni ndogo au ziko sawa wanaipa odds ndogo , watu wakishaona wanapita nayo waoijua wameoati kumba hasala, ili uifaidi michezo ya kubeti odds isiwe chanzo zha ushambuzi wako,
4, AINA YA KAMPUNI UNAYOTUMIA
hili nalo linaweza kuwa mojawapo ya sababu itakayokufanya ushinde au ulos
Kuchagua aina ya kampuni UNAYOTUMIA kubetia ni Jambo la Kwanza mhimu kabula hujabeti,
Nikweli makampuni yapo mengi na yanatoa huduma nzuri ,
Kwanini uchague kampuni kunakampuni ambazo ukipoteza timu moja kwenye mkeka wa timu nyingi unaludishiwa pesa yako pengine na faida kidogo,
Na kunakampuni pia ambazo ukiona mkeka wako haueleweki unatimu kadha zimeshinda zingine huna imani nazo unakatisha mkeka unauza unapa pesa ,
Pia ikumbukwe pia wingi wa masoko pia ni sababu ya kukufanya uichague kampuni maana zinatofautiana,
Kwaupande wangu napendekeza kampuni kadhaa ambazo unaweza kuzitumia