Habari
Leo nimeona niereze kidogo yale ninayoona yanatufanya tupate halasa kuliko faida katika kubeti
Nikweli betting ni kazi Kama kazi zingine , na kunafaida kubwa inayopatikana kwawalio makingi
Hivi kalibuni mchezo huu umepata umaalufu na wafuwasi wengi sana
Na miongoni mwa wateja wengi wapo katika kundi la vijana ,
Chakushangaza hasala imekuwa kubwa kuliko faida inayopatikana katika kazi hii,
JE KWANINI TUNAPATA HASARA
kunamambo kadhaa ambayo kwaupande wangu nimeona yanaleta hasala au yamekuwa kati ya Yale yanayotufanya mikeka yetu kuchanika kila mala,
1. TAMAA
kwanini nasema tamaa, katika kubeti kunavitu viwili wakati Kabula mtu hajauidhinisha anapaswa kuangali
Pesa uliyoweka na pesa unayoshinda.
Hapo ndipo tunapoangukia unakuta mtu anaweka 500 na wazolake anataka apate 300000 sasa atajikuta analazimika kuweka timu nyingi katika mkeka wake ili odds ziwe nyingi ,wakati huo huo amesahau kuwa ukiweka timu kuanzia 6_ uwezekano wa wewe kushinda 30% ,kulos kutachukua nafasi 70% , hivyo kwakuwa na tamaa ya pesa nyingi tunapoteza kiasi kikubwa cha pesa,
CHANZO CHA TAMAA,
hivyo nimeona kuwa nikueleze tuu kuwa tamaa kwa walio wengi hutokana na mataji mdogo hivyo basi kuepukana nia hili janga hakikisha Kabula hujabeti andaa mtaji wako mzuri na hakikisha mkeka wako hauzidi timu 4 odds kuanzia 2-5 hapo utatusua mala kwa mala na utapata faida mfano umweka laki ,ods 5= laki 5,
Ikiwa kila siku utafanikiwa kufanya hivyo utapata faida nzuri, na Kama huna mtaji na unataka kukuza mtaji wako fanya hivyo hivyo weka 5000 yako pata 15000 kesho Tena fanya hivyo utajikuta kiwango kinapanda,
Jambo lingine linalotufelisha
2, MAPENZI NA TIMU,
hili pia nitatizo kubwa Sana linalotufelisha shida Sana
Mapendi ya timu fulani yanaondoka na pesa za watu nyingi,
Kabula hujabeti jua kuwa kunamatokeo matatu 1,x,2
Sasa wewe badala ya kufanya uchambuzi wa kina unaipa timu yako tuuu matokeo yake inapigwa, hivyo basi kwenye kubeti ushabiki weka pembeni,
3, ODDS
hili nalo limekuwa tatizo kwa walio wengi , tunapishana na pesa kila wakati kwasababu ya odds,
Wakamalia wengi wanajua kuwa timu yenye odds ndogo ndiyo inayoshinda kumbe sivyo ,kwasababu hiyo kampuni zinazoendesha mchezo huo zimeshajua kuwa watu hufata odds
Sasa wanacheza na akili zetu kuwa timu wanayoiona ni dhaifu au nafasi ya kushinda ni ndogo au ziko sawa wanaipa odds ndogo , watu wakishaona wanapita nayo waoijua wameoati kumba hasala, ili uifaidi michezo ya kubeti odds isiwe chanzo zha ushambuzi wako,
4, AINA YA KAMPUNI UNAYOTUMIA
hili nalo linaweza kuwa mojawapo ya sababu itakayokufanya ushinde au ulos
Kuchagua aina ya kampuni UNAYOTUMIA kubetia ni Jambo la Kwanza mhimu kabula hujabeti,
Nikweli makampuni yapo mengi na yanatoa huduma nzuri ,
Kwanini uchague kampuni kunakampuni ambazo ukipoteza timu moja kwenye mkeka wa timu nyingi unaludishiwa pesa yako pengine na faida kidogo,
Na kunakampuni pia ambazo ukiona mkeka wako haueleweki unatimu kadha zimeshinda zingine huna imani nazo unakatisha mkeka unauza unapa pesa ,
Pia ikumbukwe pia wingi wa masoko pia ni sababu ya kukufanya uichague kampuni maana zinatofautiana,
Kwaupande wangu napendekeza kampuni kadhaa ambazo unaweza kuzitumia
1 22BET Jisajiri kwakubonyeza hapa
2. BETWAY Jisajiri hapa
3. Winprincess. Jisajiri hapa
Hayo ndomakampuni niliyoona yanafaa ukiyatumia
Angalia video hapo namna ya kujisajiri 22bet,
Baada ya kuwa tayari umengalia endelea kufulahia betting,
Hizi ni kati ya ziri sababu nyingi zinazotufanya tupate hasala kwaleo nimeona nilete hizo chache
Naandaa somo litakalo kufundisha namna ya kuandaa mkeka wa ushindi kila siku,
Maana hivi sasa kumezuka janga jipya la wauzaji wa mikeka na yote hayo husababishwa na uvivu wa kuandaa mkeka mtu yuko tayali kununua hata odds 3
Jambo ambalo si zuri, Kama unaitaji tupige hatua basi usinunue mkeka ,
Niishie hapa ili nisikuchoshe , kwamachache haya naamini umepata kitu , naomba maoni yako sasa
No comments:
Post a Comment